Kuna jamaa alifungwa jela miaka 7 kwa kosa la wizi wa mamilioni ya pesa. Baada ya miaka 2 akiwa jela anapata barua toka kwa babake


Kuna jamaa alifungwa jela miaka 7 kwa kosa la wizi wa mamilioni ya pesa. Baada ya miaka 2 akiwa jela anapata barua toka kwa babake, 

Mwanangu mpendwa umeniacha Katika hali ya uzee na maradhi, wakati wa kutayarisha shamba umefika, na sina mtu wa kunilimia, natamani ungekuwepo ukanisaidia kulima na kupanda mahindi. Tutaonana mungu akipenda.

Mtoto akajibu-  Baba tafadhali usije lima katika hilo shamba kwa sasa mpaka nitoke jela, pesa zote nilizoiba nimezifukia Katika shamba hilo. To read more Click here.

Popular posts from this blog

Today's World Cup CAF qualifiers

List Of Teams That Have Qualified For 2026 FIFA WORLD CUP

Gachagua In Trouble As Women Plans To Do This Near His Home