Habari ya Kutisha: Sad As Baby Is Killed By His Uncle (Chops His Head)
Habari ya Kutisha
Inaarifiwa kwamba kijana huyo, Amondo Mola mwenye umri wa miaka 19, alimuua mtoto wa miezi minne kwa kumkata shingo kwa upanga.
Inasemekana mtoto huyo alikuwa amepelekwa nyumbani kwa familia ya kijana huyo kwa sherehe za kitamaduni za kunyolewa nywele. To see the photo, Click here