"Ameungana na Kenya watukutu" Samia Silihu


Samia Suluhu fumes after Kenyans forcefully  helped John Heche attend Raila's burial-John Heche ameungana na Wakenya watukutu, kuvunja sheria za nchi ya Tanzania. Akirudi lazima ataadhibiwa,au abaki huko huko Bondo. 

Itakuwaje Wakenya kwenye mpaka wa Isbania, watiririke kuja upande wa nchi ya Tanzania, wamuchukie Heche na wamvukishe mpaka eti anaenda kuhudhuria matanga ya Raila, wakati almashauri ya Uhamiaji ya Tanzania, imesema wazi kuwa stakabadhi zake hazijakamilika. To read more Click.

Popular posts from this blog

Today's World Cup CAF qualifiers

List Of Teams That Have Qualified For 2026 FIFA WORLD CUP

Gachagua In Trouble As Women Plans To Do This Near His Home